Tuesday, August 30, 2011

ZIMEBAKI SIKU CHACHE.....





Watanzania sasa zamu ya kupata uhondo wa onyesho la Jukwaani lilisukwa na kusukika kwa kiwango cha kimataifa unazidi kukaribia..Ni kutoka kwa kudi mahiri la sanaa za maonyesho nchini,la Parapanda Theatre Lab

Friday, August 19, 2011

PARAPANDA ILIVYOPAGAWISHA SWEDEN

Shabo akilicharaza gitaa wakati Parapanda ikiwasha moto jukwaani mbele ya mamia ya watazamaji nchini Sweden
 Bibie Eva Nyambe wa kikundi cha Parapanda Theatre Lab akipagawisha mashabiki nchini Sweden ambapo kundi hilo linafanya maonyesho yake
 Baadhi ya wasanii wa kundi mahiri la sanaa nchini Tanzania, Parapanda Theatre Lab, wakiwa jukwaani Sweden tayari kwa kuonyesha igizo la ANTIGONE ambapo kwa mara ya kwanza litaigizwa kwa lugha ya Kiswahili.
 Msanii Frank Samatwa(aliyeshika zeze) akionyesha umahiri wake katika kupiga zeze la kigogo wakati Parapanda ilipoonyesha igizo la ANTIGONE nchini Sweden. Pembeni yake ni Eva Nyambe na Amani Lukuli.

"Hata waTanzania tunaweza kupiga Djembe"-Daudi, msanii wa Parapanda akionyesha ufundi wake na ubunifu katika kuipiga ngoma ya Djembe yenye asili ya Afrika Magharibi wakati wa ziara yao nchini Sweden. Nyuma yake ni Shabo akimsindikiza kwa ngoma.

Tuesday, August 9, 2011

CLASSICAL GREEK TRAGEDY “ANTIGONE” COMES TO TANZANIA





The production is a joint venture between Tanzania’s longstanding theatre company, Parapanda Theatre Lab and Gothenburg City Theater. This partnership goes back to 2004 and since then there have been a number of workshops and exchanges and the two theatrical institutes. The team have now reached a point where they are embarking on a cutting edge production which marries interpretations from both Swedish and Tanzanian.  The seeds of what is expected to be a vibrant production were planted in 2009 with meetings and further discussions held in May this year.


For more info, visit http://trinitypromotionstz.blogspot.com/

Thursday, August 4, 2011

PARAPANDA IN SWEDEN FOR ANTIGONE





NIna and Jane:  ( both acting as ESMENE)  during press conference


Mgunga and Ronnie ( play directors) during press conference

directors and publicity team  sellecting photos for publicity